Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

a1d61d42667944769cd75fb61b19558e.jpg
futari imenichoshaje leo


Uuwiiiiiiiii mbavu zangu mie khaah!
Iftar nuksiiiii

Cc Smart911
 
Ugali dagaa na mboga za majani zilizochanganywa zikapikwa kwa pamoja na Nazi!!
 
Kwa wale vijana wa Daslam huwa wanapenda Chips +mishikaki + Sprite tekiawei

Note: Mimi ni msemaji wao.
 
Back
Top Bottom