emanuel prim
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 508
- 475
Chakula cha USIKU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] sio kibonge mzitoHahaha
Kibonge mwepesi mwambie
hahahhaAkuuu
Vale sio wa nchi hii, Kasie alinawa mikono ujue
sio kwa bamdogo dadaHutaki nini sasa
Nenda bhana
Hapana aisee[emoji2] [emoji2] sio kibonge mzito
Ni Bamdogo wako kwa nani labdasio kwa bamdogo dada
hivi dada hujui kumbe kuna siku bwana me na espy akatupa undugu kilazima me mamdogo ake na espy ni dada ake akasema tunamuhalibia sana bora atupe undugu tu kilazimaNi Bamdogo wako kwa nani labda
hahahhahaHapana aisee
Usishangae mamy futari kareem hiyo
Aiseeeehivi dada hujui kumbe kuna siku bwana me na espy akatupa undugu kilazima me mamdogo ake na espy ni dada ake akasema tunamuhalibia sana bora atupe undugu tu kilazima
chediHujakosea mimi ni MPARE, nimezaliwa upare, nimekulia upare, nitazeekea upare, mie ni mpare halisi wala sio wapare wakusema "ooooo ni mpare lakini tunaishi Daa" hapana mie ni mpare haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Jichagulie...[emoji39] [emoji39] ukiniwekea na ndizi za kuchoma hapo na kinywaji changu cha baridi daah roho inasuuzika
Makinikia ya kuku .Heshima kwenu wana jf
niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage
wewe je unapenda chakula gani zaidi