Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ni Bamdogo wako kwa nani labda
hivi dada hujui kumbe kuna siku bwana me na espy akatupa undugu kilazima me mamdogo ake na espy ni dada ake akasema tunamuhalibia sana bora atupe undugu tu kilazima
 
hivi dada hujui kumbe kuna siku bwana me na espy akatupa undugu kilazima me mamdogo ake na espy ni dada ake akasema tunamuhalibia sana bora atupe undugu tu kilazima
Aiseeee
 
Hujakosea mimi ni MPARE, nimezaliwa upare, nimekulia upare, nitazeekea upare, mie ni mpare halisi wala sio wapare wakusema "ooooo ni mpare lakini tunaishi Daa" hapana mie ni mpare haswaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
chedi
 
Ugali wa mhogo wa kutwanga kwa mkono na samaki aina ya Sato/ Ningu
 
Papuchi aisee! Asikwambie mtu Mimi mpaka naishiwa nguvu nikishiba.
 
Wali /Ugali Roast ya kuku wa kienyeji / Kisamvu Cha Nazi kilichochanganywa kitunguu swaumu na fresh juice ya passion mixed nanasi embe mkuu.

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Heshima kwenu wana jf

niende straight kwenye mada je ni chakula gani ambacho ukila una ridhika kabisa...??
Mm ni wali maharage yaani kwenye sherehe hua sikosi kama kuna hiki kitu wali maharage

wewe je unapenda chakula gani zaidi
Makinikia ya kuku .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…