Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Miwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo nguvu za huo msosi haujawahi muacha mtu salamaUgali wa unga mahindi uliochanganywa kidogo na unga wa muhogo kwa samaki za kukaanga/dagaa na mchicha wa nazi au chuku chuku wenye nyanya chungu pembeni kuna Pilipili mbuzi/kichaa. Huwa najisikia raha sana kula chakula hiki si mchana si usiku.
Mubashara kabisakwa raha zako
Huu msosi tulikuwa tunafunga safari ndefu sana kuufuata mwaloni Mwanza.Ugali wa unga mahindi uliochanganywa kidogo na unga wa muhogo kwa samaki za kukaanga/dagaa na mchicha wa nazi au chuku chuku wenye nyanya chungu pembeni kuna Pilipili mbuzi/kichaa. Huwa najisikia raha sana kula chakula hiki si mchana si usiku.
Umesahau nini ile chungu? KachuriUgali wa MUHOGO uliochanganywa na mtama kiasi then Tia Nyama choma ya mbuzi hapo hunambii kitu kabsa