Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Ni chakula gani ambacho ulikila unaridhika..

Dah... Damu mbichi ya mbuzi na maini yaliyochanganywa na nyongo.....iko mororo sanaa[emoji4] [emoji4]
 
In fact ugali na nyama choma au kitimoto, baada ya hapo nashushia na soda inayoitwa Sprite
 
a1d61d42667944769cd75fb61b19558e.jpg
futari imenichoshaje leo
 
MI NIKILA CHAKULA CHA USIKU MWINGI HUWA NARIDHIKA ZAIDI
 
Back
Top Bottom