Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Waaooh that is my favorite meal, machalari in meat on the bone.Kusema kweli ndizi nazipenda zilizoiva tu nakula kama tunda ila sio ndizi za kupika.
Ndizi za kupika nakula tu kuzuia kifo panapokua hakuna chakula kingine.
Katika chakula nisichokipenda zaidi Duniani ni ndizi za kupika.
Ndizi zozote zile ili mradi ziwe za kupika hata mpishi azipike akiwa uchi sizipendi, ziwe za nyama au maharage sijui utumbo nk nk sizipendi.ndizi gani? za bukoba au za mbeya au za kilimanjaro?
na za kupika na maharage au nyama au zipi unasemea maana ndizi zipo aina nyingi na mapishi tofauti tofauti kama viazi
ahahaa huyo maza house wako hajui kuchanganya misosi huwezi kupika bilinganya peke yake linaboa bilinganya unachanganya kwa maharage yawe na nazi halafu ulie wali mzee au kwenye dagaa au samaki utalipenda mwenyewe.bilinganya lina afya sana mimi nalipika sanaUgali bilinganya
machalari ya mbuzi meee !Waaooh that is my favorite meal, machalari in meat on the bone.
Aika Mae.machalari ya mbuzi meee !
mimi sipendi kabisa machalareAika Mae.
Waaooh yaani nikiona ndizi za kijani gengeni ninachanganyikiwa, ninaweza kuanza na mtori asubuhi machalari mchana na jioni bila matatizo.mimi sipendi kabisa machalare
kuna makande yanapikwa kama pilau achana na hayo maharage yaani ukipikiwa na wataalam kama sisi utahamia.Makande aisee.wakati nipo boarding school (mkoa wa kilimanjaro) kila siku mchana na jioni tunakula makande sio kama yale niliyozoea kwetu Tanga coz mahindi mazima mazima na maharage daah.
Kabla ya mwaka kuisha nilihama sababu ya maswala ya academics na hali ya baridi lakini mpk sasa sina hamu tena ya makande miaka 10 imepita nilishakinai kila nilivyojaribu kula makande nimeshindwa.
Watoto wakishua bana...wenzio utachezea kichapo cha mama na utakula na machoziDah ndizi hata mimi hunipati kabisa, wakati nikiwa mdogo home wakipika naona bora siku hiyo nipinge ndefu, sili nalala tu