Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Ni chakula gani hupendi, mimi sipendi ndizi za kupika

Ndizi mimi sijawahi kupata hamu ya kusema leo nahamu na ndizi ila zikipikwa nakula kama kawaida, naweza maliza mwaka na zaidi bila kuwa na wazo kama kuna chakula kinaitwa ndizi yaan sina muda kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Me njugumawe jamani. Zimenishinda kabisa.
Vengine vote napeleka kama sina akili vizuri.
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Njugumawe ni chakula kama ndizi ila inatakiwa ule na mboga.

Yaani njugumawe kama mahindi au mchele upike halafu ndio ule na mboga samaki au nyama kama mboga yake.

Tatizo watu wetu wanatumia kula njugumawe kama mboga.

Njugumawe sio mboga. Ikiifanya mboga itaichukia.
 
Miye sipendi futari ya mihogo kabisa, ndiyo maana sifuturu kwa watu.
 
Back
Top Bottom