Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wait.. Nipo kwenye semina ya pspf ntakujuza bdaye!!
Unatisha, mara hii semina, wanatoa shingapi hiyo semina?
Walimu bhana wana vituko sana.Day one eti tayari yupo semina
Kuna issue ya Medical Examination form, unalipia 2000/= ila sahau kuhusu risiti.
Pesa ya kujikimu pia inasemina!Semina kwani si hata chini ya mti? Halafu si lazima kulipwa.