Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

Ni chuma ulete ama ni gharama za maisha zimepanda? Sielewi

Isinunue vitu reja reja ,nunua unga kilo kumi,kuanzia mafuta kuanzita Lita moja
Dagaa kuanzia kilo,ila mke awe na akili za kumtosha na nyanya unaenda wanakouzabjumla unanunua walau za 10000 na caroti na Kila kitu
 
Pole sana ndipo tulipofikia dhuluma ni kubwa ,ukiongoe kesho huioni.hata ukiweka Hela benki huzikuti,ukiweka mobile money zinapotea ,ukinunua shamba utadhulumiwa,
 
Back
Top Bottom