Ni chuo gani kizuri kwa diploma ya sheria

Ni chuo gani kizuri kwa diploma ya sheria

Mzenjibar

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2011
Posts
227
Reaction score
292
Natanguliza heshima kwenu wadau, naomba kujuzwa ni chuo gani kizuri ktk diploma ya sheria hapa nchini kwetu Tanzania?
 
UDSM,mzumbe(kama wana diploma) na cha lushoto...
 
Mzumbe wanayo dplma bt iko brnch ya mbeya bt cye kw2 n palepale lushoto n ckuhz kimefungua brch nyng mwanza bt mwanza af n ajira yo cn compare m2 wa azania n m2 wa ija.ija 2po juu xema maxomo tyt kama n kilaza nenda azania
 
i think hata mauti yko yatakuwa ni full maujinga, 😡
 
Mzumbe wanayo dplma bt iko brnch ya mbeya bt cye kw2 n palepale lushoto n ckuhz kimefungua brch nyng mwanza bt mwanza af n ajira yo cn compare m2 wa azania n m2 wa ija.ija 2po juu xema maxomo tyt kama n kilaza nenda azania

Hizi ni lugha za facebook.
 
Chuo cha uongozi wa mahakama lushoto kimefungua tawi mwanza? Tawi hilo linaitwaje?
 
nenda institute of judiciary adminstration (IJA) cha lushoto coz hata ajra wanapewa kpaumbele
 
u nataka kuwa karani,mlinzi wa mahakama au mbeba ma file ya advocate? maana akimu mahakama ya mwanzo bila degree ni soo
 
u nataka kuwa karani,mlinzi
wa mahakama au mbeba ma file ya advocate? maana akimu mahakama ya mwanzo
bila degree ni soo

kuwa na fyn brain hili ni jukwaa la wa2 wenye ufikirio wa kina so jitahid usiwe na cheap mind kama aradani
 
Back
Top Bottom