Ni chuo gani kizuri zaidi kwa Engineering Tanzania level ya Degree kwa course mama za Engineering

geometry

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2014
Posts
466
Reaction score
358
Habarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka 2014 hivyo ana mpango wa ku apply 2015 mshauri achague chuo gani kwa course mama za engineering i.e electrical,mechanical,civil
 
mwambie hana sifa za kuwa engineer
 
Civil namshauri aende ardhi university,,, ipo vzr sana pale
 
Habarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka 2014 hivyo ana mpango wa ku apply 2015 mshauri achague chuo gani kwa course mama za engineering i.e electrical,mechanical,civil
ushauri mpeleke vyuo vya nje,elimu ya kibongo ni formula,theory tuu
 
Njoo 'wdmi' ubungo uchukue B.eng in water resource and irrigation engineering, kwa maelezo zaid ingia hapo; lafu soma prospectus www.wdmi.ac.com au nenda dit kapge civil eng
 
aisee babayangu mwambie tenzi dume akupeleke china nadhan huko kunavio vya kutosha
 
mi nafkiri mkubwa ungekuwa specific huyo dogo wako anataka kusoma coz gan maana kutegemea na koz husika baadhi ya vyuo viko bora kuliko vingine....
 
Vyuo vyote Tanzania vipo sawa sawa maaana ingawa haujawa specific ila kwa kifupi Tanzania kuna Engineers wa kwenye madesa tu, soma kwa bidii ujaribu mazali nje ya Tanzania uone raha..ya maisha...
 
mi nafkiri mkubwa ungekuwa specific huyo dogo wako anataka kusoma coz gan maana kutegemea na koz husika baadhi ya vyuo viko bora kuliko vingine....
Electrical engineering
 
Back
Top Bottom