Habarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka 2014 hivyo ana mpango wa ku apply 2015 mshauri achague chuo gani kwa course mama za engineering i.e electrical,mechanical,civil
ushauri mpeleke vyuo vya nje,elimu ya kibongo ni formula,theory tuuHabarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka 2014 hivyo ana mpango wa ku apply 2015 mshauri achague chuo gani kwa course mama za engineering i.e electrical,mechanical,civil
College of informatics and virtural education~udom au mist,dit, na atc
hapo kwenye udom utakua unamdanganya dogo.
Electrical engineering
1. DIT
2. UDSM
3.St joseph (japo wengi hapa ada inasumbua)