Ni chuo gani kizuri zaidi kwa Engineering Tanzania level ya Degree kwa course mama za Engineering

Ni chuo gani kizuri zaidi kwa Engineering Tanzania level ya Degree kwa course mama za Engineering

Habarini wanajamvi,
Kwa ufupi ni kuwa mdogo wangu alimaliza form six 2014 na kupata division one ya points 7 PCM,lakini kutokana na alipata kikazi cha kujishikiza kidogo akaamua kuto aplly mwaka 2014 hivyo ana mpango wa ku apply 2015 mshauri achague chuo gani kwa course mama za engineering i.e electrical,mechanical,civil

Mkuu tuko pamoja mm na huyo mdogo wako...! mi mwenyewe na-apply mwaka huu na nina same point ila nilisomea PGM....

Nimeanzisha uzi hapo una tittle ''ushauri wenu tafadhali.... Mpangilio wa faculty''
 
Back
Top Bottom