Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

Ni chuo kipi hapa Tanzania kinatoa Bachelor ya Electronics & Radar Engineering?

ChampN199

Member
Joined
Jul 5, 2021
Posts
30
Reaction score
48
Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili.

Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
 
Attachments

  • Leistungsdichte2.png
    Leistungsdichte2.png
    5.5 KB · Views: 13
Wadau na wana familia wa JF , naombeni msaada kwenye hili.

Naomba kujua chuo gani hapa tanzania kinatoa kozi ya radar engineering ngazi ya degree.
Soma Undergraduate Admission Guidebook inayotolewa na TCU kila mwaka kitabu hiki kinaonyesha kozi zote zinazotolewa na vyuo na sifa za kujiunga kwenye kila kozi
 
Kama ni kwa jina hilo hakuna
Lakini ndani ya digrii ya electronics na telecommunication kutakuwa na module ya signal processing inayoweza kupitia juuj juu mambo ya radar
 
Pure electronics iko udsm vyuo vingn no electronics and telecommunication au electrical and electronics
 
Mi baba angu alisomea Ukrane zaidi ya miaka 37 iliyopita ikiwa ni sehemu ya USSR.
Kwa sasa labda uwe jeshini ndio usomee pale chuo chao mambo ya hewa.
 
Mi baba angu alisomea Ukrane zaidi ya miaka 37 iliyopita ikiwa ni sehemu ya USSR.
Kwa sasa labda uwe jeshini ndio usomee pale chuo chao mambo ya hewa.
Duuh ,,,,,,, saw saw Kaka nimekuelewa
 
Back
Top Bottom