Ni Comedian Gani Anayefanya Vizuri, Unayependa Kumsikiliza/Kumwangalia?

Ni Comedian Gani Anayefanya Vizuri, Unayependa Kumsikiliza/Kumwangalia?

Duniani Trevor Noah... nyumbani ni Victaza Electronic kitambo
 
Joti na mkojani wako vizuri sana!

Comedy yao ni kipaji halisi. Kwa kweli wanaweza. Usipocheka basi una matatizo ya afya! — probably huna bandama.

Kuna wajinga wengine huwa hata siwaelewi. Mfano yule wanamuita sijui idriss!!

Huwa sifahamu hata anachekesha nini!! Naona anakenua kenua tu ovyo!
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huyu jamaa MKOJANI bongo nzima hakuna kama yy
 

Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    14.6 KB · Views: 1
Bongo hamna aseh...
Mi nipo Kenya
Churchill show.
Djshiti
Prof hamo.
Smart joker
Yule Jamaa wa stori za Piento .
Alafu kuna movie moja Hivi one of mafav comedy Invention of lies.
 
Somebody Nalimi jamaa anajua sana asee,

wengine ni; Ringo, Tin White, Maufundi nawakubali sana
 
Back
Top Bottom