[emoji38][emoji38][emoji38]Joti na mkojani wako vizuri sana!
Comedy yao ni kipaji halisi. Kwa kweli wanaweza. Usipocheka basi una matatizo ya afya! — probably huna bandama.
Kuna wajinga wengine huwa hata siwaelewi. Mfano yule wanamuita sijui idriss!!
Huwa sifahamu hata anachekesha nini!! Naona anakenua kenua tu ovyo!
Huyo iddris anafanya LIVE comedy au zile za instagram ?
tales of crazzy kennarHuyo Deogratius kwasasa yuko Watubaki
kumwangalia.
Vipi Mr. Bean na Charlie Chaplin ?
[emoji23][emoji23]tin white huyu jamaa ni full vichekesho na masantula na mkewe pili