Alexander The Great
JF-Expert Member
- Aug 28, 2018
- 4,509
- 23,653
Kuna huyu jombi anaitwa Chongoe, ukiingia tisini zake hana huruma. Hii ilikua kwenye uzi wa jamaa katoka safari halafu mke wake hayupo, akagundua amegongewa, sasa akawa anaomba ushauri.