Kuna huyu jombi anaitwa Chongoe, ukiingia tisini zake hana huruma. Hii ilikua kwenye uzi wa jamaa katoka safari halafu mke wake hayupo, akagundua amegongewa, sasa akawa anaomba ushauri.
Kuna hii koment haichekeshi ila ni best of the bests: "you wii loose a lot of money chasing women but you will never loose women chasing money" alieipost simkumbuki