Kama wabunge na mawaziri wanapukutika nani anayepambana na Corona?
Pole Sana. Karibu upate tiba ya moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo.Hata Mimi huku ni maumivu ya kifua kinauma nikaenda kupima nikakuta gastritis na dalili zote za hyo type of ulcers na natumia dawa pia natumia tangawizi na malimao tuondoe hofu jmn tule diet ya vitamini C
Sent using Jamii Forums mobile app