Dogo kafanye BSc. Economics. wala usihangaike kujitutumua kwenye mambo ya Afya ama engineer, fanya iyo kitu na jitahidi kufaulu vyema, na ukipata nafasi wakati unasoma hii course changanganya na optuonal course za finance na investments kutegemea na nafasi ya muda pamoja na chuo unachosoma. Ukifanikiwa kutoka vizuri huku nje unaweza kuwa mtu mzuri hata wasupokuajiri.
Mtu namna yako anakuwa makini na mwenye uthubutu wa kuanza mambo yake mwenyewe. Ukitoka usisubiri kuajiriwa anza kujianzisha mwenyewe.