Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 360
- 608
Pole,angalau unajitambua naamini itaisha hiyo hali baada ya muda ukishajua maisha ni nini
Watu kama nyinyi mko wengi sana Tanzania hii..ila moja ya sababu kuu inayosababisha mtu awe hivi ni kutokea kwenye familia masikini...umetokea kwenye familia yenye dhiki...kumiliki gari ni jambo la kawaida sana...dunia ya leo kuna gari mpaka za millioni 2..tafuta corona old model ujue bei yake ....jaribu kubadirika vinginevyo utaanza kushinda kwa waganga kuwaroga wenzio..
Badirika sasa wewe bado ni kijana mdogo sana...usiwe na roho mbaya kama wanawake wa kirangi..yaani unakuwa na roho ya kwanini...Too bad sijakulia kwenye familia ya kimaskini kwetu ni middle class hata mzee wangu anamiliki gari
Sasa middle class gani ambaye ana roho yaki zandiki hivi?Too bad sijakulia kwenye familia ya kimaskini kwetu ni middle class hata mzee wangu anamiliki gari
Huo tunaitaga wivu wakike yani😂Habarini za humu JF,
Mimi ni kijana wa umri miaka 27. Ninafanya kazi katika company flani hivi. Nataka niulize je hii ni dalili ya kuwa mchawi au lah?
Kutokana na katabia ka kuona wivu maendele ya watu naumia moyoni na ninakuwa na mawazo pia. Leo kuna mtu ninafanya nae kazi kaniambia anataka kununua gari, basi nimekuwa sina raha nae moyo wangu umejikunja sana mimi kimaisha nimemzidi ila akinunua gari atakuwa juu yangu.
Je, hii ni kawaida au ndo naanza kuwa na roho chafu, binafsi sipendi kumchukia mtu au kumuona katika hali mbaya ila akifanifikiwa roho inauma.
Nawasilisha..
Hiyo sio hali ya kawaida kwa kweli.Habarini za humu JF,