Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kule US wife ndie alikuwa fully sponsored kwa masters na Ph.D fellowship, by then watoto wetu wawili bado wadogo, mimi nikawa ndio baby sitter, house boy, house husband, wife ndio alikuwa bread winner, the boss huku mimi nikiwa jobless.Why did you choose to be back to Tz?
Baadhi ya makabila wanaweza mwanaume unakuwa mume wa nyumbani halafu mke ndio anafanya kazi!, sisi kabila letu, hatuwezi, hivyo tukachukua house girl from Tanzania kulea watoto, mimi nikarudi Bongo kuendelea na kazi yangu ya utangazaji. Kila 2 years natembelea family US.
P