Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Kule US wife ndie alikuwa fully sponsored kwa masters na Ph.D fellowship, by then watoto wetu wawili bado wadogo, mimi nikawa ndio baby sitter, house boy, house husband, wife ndio alikuwa bread winner, the boss huku mimi nikiwa jobless.Why did you choose to be back to Tz?
Yani balehe mbaya sana, hicho kipindi ukiwa unatangaza nilikuwa natamani unibikiri tu hahaha. Yan nilikuwa nakupenda sana mpaka muhun alivyokuja kuikata nikakusahauKule US wife ndie alikuwa fully sponsored kwa masters na Ph.D fellowship, by then watoto wetu wawili bado wadogo, mimi nikawa ndio baby sitter, house boy, house husband, wife ndio alikuwa bread winner, the boss huku mimi nikiwa jobless.
Baadhi ya makabila wanaweza mwanaume unakuwa mume wa nyumbani halafu mke ndio anafanya kazi!, sisi kabila letu, hatuwezi, hivyo tukachukua house girl from Tanzania kulea watoto, mimi nikarudi Bongo kuendelea na kazi yangu ya utangazaji. Kila 2 years natembelea family US.
P
Duh...!. Ila pia sio kila mtu anapenda kufungua, maadam mlango umeisha funguliwa, hakuna ubaya ....Yani balehe mbaya sana, hicho kipindi ukiwa unatangaza nilikuwa natamani unibikiri tu hahaha. Yan nilikuwa nakupenda sana mpaka muhun alivyokuja kuikata nikakusahau
meni mpo wapikwani hapa azungumziwa mwanamke peke yake?
Mwaka huu tumeonana kwenye maonesho ya Nanenane pale Dodoma. Nilifurahi kukuona.Kule US wife ndie alikuwa fully sponsored kwa masters na Ph.D fellowship, by then watoto wetu wawili bado wadogo, mimi nikawa ndio baby sitter, house boy, house husband, wife ndio alikuwa bread winner, the boss huku mimi nikiwa jobless.
Baadhi ya makabila wanaweza mwanaume unakuwa mume wa nyumbani halafu mke ndio anafanya kazi!, sisi kabila letu, hatuwezi, hivyo tukachukua house girl from Tanzania kulea watoto, mimi nikarudi Bongo kuendelea na kazi yangu ya utangazaji. Kila 2 years natembelea family US.
P
AhahaDuh...!. Ila pia sio kila mtu anapenda kufungua, maadam mlango umeisha funguliwa, hakuna ubaya ....
P
ule usumbufu wa kukata uzi...yangu huwa ina lala yoooo na haihamki ngooooDuh...!. Ila pia sio kila mtu anapenda kufungua, maadam mlango umeisha funguliwa, hakuna ubaya ....
P
Next time ukiniona mahali, nisalimie tuu, usiniogope, siku hizi I'm a good boy, after all we are human beings, you never know...Mwaka huu tumeonana kwenye maonesho ya Nanenane pale Dodoma. Nilifurahi kukuona.
Nilikusalimu mkuu, sio tu salamu ya kawaida. ulikula Shikamoo yangu.Next time ukiniona mahali, nisalimie tuu, usiniogope, siku hizi I'm a good boy, after all we are human beings, you never know...
P.
Duh...!,siku tukikutana tena,achana na mambo ya shikamoo,sisi wana JF we are all equal,ukiniona nisalimie Mambo!Nilikusalimu mkuu, sio tu salamu ya kawaida. ulikula Shikamoo yangu.
Nafikri hakuna mtu mwingine zaidi yako humu JF niliyewahi kumsalimia Shikamoo.
I was raised that way mkuuDuh...!,siku tukikutana tena,achana na mambo ya shikamoo,sisi wana JF we are all equal,ukiniona nisalimie Mambo!
P
Wewe ni mtu wa wapi?I was raised that way mkuu
Njombe moja hiyo.Wewe ni mtu wa wapi?
P
Duh...!, nilikosa bonge la chance maana Njombe sijawahi!.Njombe moja hiyo.
Umejibu vyema sanaNi mwanamke ndo anazungumziwa hapa, Dume hata likimega nje sio issue sana wao huwa wanawashikisha adabu wanao jipendekeza tu.
Ila mwanamke kumegwa nje ni uchafu sana, ndo maana tunatafuta dawa.
We mpemba au mtanganiongeze swali kwa wadau mtusaidie na wanawake tuwajue wanaume wakitoka kumega nje.