Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
- Thread starter
-
- #101
wimbo uwafikie wale woteeeeee ambao hawapendi kunirusha hewan wako wengi hata huyu anahusuka
Kipipi vingine ujue havielezeki kwa maneno maana hadi tumeishia kupenda I jst wanna be close to you acha tu....
hahahahahahaRaha ya peponi tu ndo haielezeki,
Vingine vyote ni twende kazi! hahah
Ndo umekasirika shosti??
Usifanye hivyo my dear . . .tusameheane mpenzi!
Cha kwanza mandhari ya bahari, wish nipate kumatio la huyu ninaemmiss sana tukiwa baharini baharini hivi lol.
Pili neno "NI DARAJA GANI LISILOPITIKA?" Am in love with someone, he know kwamba nampenda sana but we are a little bit far from each other so i have to travel if we need to meet. It comes time the communication was poor from his side then nika complain, the answer was i love you.......but distance,which means umbali kwake ni kikwazo. Then i told him if mapenzi ni ya dhati, distance will never be a problem. Leo wimbo umeongezea "Ni daraja gani lisilopitika? Kama lipo basi niko tayari kupita angani nikufuate. Coz i miss you already lol.
Tatu the girl is so sexy i see, ameeendana na wimbo na uimbaji wake unamuonyesha kumaanisha anachoimba.
Nne ni
Because I love you
U always in ma mind
Ma heart, ma soul . . .
I just wanna be Close to you!
When you real love some one, and you find your heart missing him/her, haya maneno lazima yakupitie usoni every second na utapata kizungu zungu lol
Mwisho ahsante sana kwa burudani. Me like u Kipipi
la haul la kwata... natamani kurudia ujana lakini wapi wakati ukuta........
mkuu hapo nilipoweka red nahisi ni typing error amaa kuna maana ingine
Mistake rafiki, sorry if umekuwa offended mwaya. Nilimaanisha KUMBATIO. Thanks also for your time reading.
usijali ni vitu vya kawaida kutokea, shukrani kwa sahihisho siku njema yenye aman, furaha na mafanikio
Ahsante saana, rafiki. Barikiwa sana.
shukrani sana, nisiwe mchoyo naomba tubarikiwe wote...
Kama daraja linapitika na bado huwezi kuvuka,
Au pengine roho yako inasita . . . basi ujue kuna walakini.
But, the closer you move . . the closer and greater discovery of response you get!
Lets take an example of dancing while in zero distance . . .hailetagi changes kweli hata kama ni kwa upande mmoja??
BTW, No matter how things hold complications,
If you are still in love with the person . . . there comes a moment utatamani awepo nawewe
Hasa pale ukikumbuka mazuri yake au moyo wako ukiwa bado una imani naye!
Halafu mr Judge inaonekana kabisa una desire something ila hauna uhakika na huyo alieko upande wa pili . . . LOL! YNNAH Plizzzzzzzzzzz!
Ila bado sijajua iwapo ndo umeguswa hapo tu au it was just a comment.