Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Habarini jamani..
Naomba kufahamishwa tube nzuri (dawa ya kupaka) usoni ambayo inaweza kuondoa chunusi au mashimo usoni ambayo yanapelekea kutengeneza utando(ugaliugali) mweupe kwa ndani.
Kama umewahi kukutanana hizi chunusi/mashimo mwenzangu ulipona kwa dawa gani..?
| Komamanga: Maganda Ya Mkomamanga yaliyosagwa, yakichanganywa na habbat sodah ya unga, hutengeneza dawa nzuri ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ( chunusi ) |
| Habbat Soda : Hii ni Habbat Sodah Ya Mbegumbegu. Habbat Sodah iliyosagwa ndio inayo hitajika katika kutengeneza dawa ya asili ya kuondoa tatizo la vipele vya usoni ama chunusi. |