so tatizo langu linaweza tatuliwa mkuuMpeleke Tu Kituo Cha Afya Akaseme Shida Yake Wanazitoa BureTu EOC (Emergency Oral Contraceptive)
Zipo Za 24 Na 72 Hours Ila Watataka Wampime Na HIV
So Be Ready
Hawana Masharti Maana Wanatoa Kama Uzazi Wa Mpqngo Tu
Haya sasa ona huyu mwanaume anachoenda kufanyaHbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.
Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.
Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.
Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.
Nawasilisha.