Ni dawa gani ya kuzuia mimba baada ya masaa 72?

Agresive

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2018
Posts
890
Reaction score
1,236
Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.

Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.

Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.

Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.

Nawasilisha.
 
Mpeleke Tu Kituo Cha Afya Akaseme Shida Yake Wanazitoa BureTu EOC (Emergency Oral Contraceptive)
Zipo Za 24 Na 72 Hours Ila Watataka Wampime Na HIV
So Be Ready

Hawana Masharti Maana Wanatoa Kama Uzazi Wa Mpqngo Tu
 
so tatizo langu linaweza tatuliwa mkuu
 
zilikuwepo P2 ila zimeexpire tangu mwezi wa sita na sidhani kama zimeletwa nyingne..Tanzania tunatumia hizo tu as only the emergency contraceptives
 
Hbr ya jioni mabaharia wa JF niende kwenye mada.

Ni dawa gani anayoweza kutumia mtu aliyesex siku za hatari na hilo limebainika baada ya ucku huu na masaa 72 yameshapita.

Kuna dawa ambazo kwa uzoefu wangu nimewahi kuzitumia za ndani ya masaa 72 unameza vidonge 2 mkupuo.

Je dawa ipi inaweza kutumika ili kuzuia mimba hii, reality silo tyr kuitwa baba muda huu.

Nawasilisha.
Haya sasa ona huyu mwanaume anachoenda kufanya
Najiuliza utakspomtoa huyo binti hiyo mimba,huna mpango wa kumuoa utamtumia utamuacha,akija taka mtt asimpate lawama zote zitakurudia

Watu wanatafuta watt wanakosa wew unaenda kuitoa,Mwache azae tuu
 
Back
Top Bottom