Billionaire wa Betting
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 1,086
- 2,179
Toyota na CFAO zamani DT Dobie.Habari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7. Genesis G90(2022)
8. Range Rover Sport (2022)
Raha ya gari jipya ukiwa na nidhamu unaweza kuendesha kwa hata miaka 10 likiwa vizuri kabisa
Thread ClosedToyota na CFAO zamani DT Dobie.
DT dobie sijui CFAO.wapo hapo vingunguti nyerere raod.hao naona ndio dealers wa magari hayo ya zero Kms.Ungetaja kampuni ya Toyota,ungeenda pia ToyotaHabari wakuu, naomba kujua kwa hapa bongo ni dealer yupi anauza au kupitia yeye naweza kupata gari mpya kabisa yaani 0 kilometer.Gari hizi ni Kama,
1. Mercedes Benz S class (2022)
2. Audi A8(2022)
3. Lexus LS (2022)
4. BMW 7 SERIES (2022)
5. Volvo s90 (2022)
6. Volkswagen Atlas (2022)
7. Genesis G90(2022)
8. Range Rover Sport (2022)
Raha ya gari jipya ukiwa na nidhamu unaweza kuendesha kwa hata miaka 10 likiwa vizuri kabisa