Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

Wacha ccm wale Nchi maana watanzania hawana habari
 
Mh Meya wa Kinondoni ameongea kwa UCHUNGU sana kuhusu changamoto zilizopo ,nimemuona Channel 10 baragumu live asubuhi..

Naona ameogopa tu kusema MAMA ni DHAIFU,mama yupo yupo tu ..nchi ipo kwenye AUTO pilot mode

Mh Rais AMKA na CHUKUA HATUA ,mama Tanzania anaangamia
 
At 60+ years after uhuru, moja ya mafanikio yao makubwa ni kuwafanya Watanganyika wajinga na Wazanzibar mazezeta, na ndio maana wako madarakani mpaka leo.
 
Ume articulate vyema sana the so called failed state ambayo kila indication inaonesha the country's economy is on its knees. Hakuna uzalendo kabisa kwa viongozi wote kuanzia rais wameshindwa kuishi ndani ya matarajio ya watu wengi na kugeuka kuwa cartels ndani ya nchi yao. Kuna giza zito sana huko tuendako kama hatua stahiki hazitachukuliwa ikiwemo kufanya overhaul ya mifumo yetu pamoja na kuwa na katiba mpya ambayo itaongeza uwajibikaji.
 
Mataifa karibia yote ya Africa mambo yake yanalingana and this is because of so called Western democracy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…