Ni dhahiri CCM na Serikali yake wameshindwa kuongoza nchi. Taifa letu limegeuka "A Failed State"

Wangeshindwa Kuongoza wasingekuoa hata nafasi ya kuandamana achilia mbali kuropoka hapa Jukwaani
Akili yako ndogo huwezi kuelewa kilichoandikwa . Haya ni madhara ya wizi wa mitihani ya shule na kuwa mpiga kele hodari darasani
 
Wanaagiza Ndege nyingine ya miviongozi na viete za zero brain Makonda
 
Mataifa karibia yote ya Africa mambo yake yanalingana and this is because of so called Western democracy
Kama issue ni western democracy mbona huko western wameendelea na hata lugha yao twaitumia???
 
Toka aondoke Nyerere madqrakani kuna shida. Mwinyi alifilisi nchi. Mkapa akapambana kujenga, wahuni wakamkwamisha. Kikwete kaifilisi nchi. Magufuli akajaribu kuijenga, wakamwua kabisa. Mama ameizika rasmi Tanzania.
Eti ameizika[emoji23]
 
Kama issue ni western democracy mbona huko western wameendelea na hata lugha yao twaitumia???
Ulaya haijaendelea Kwa hizo democracy ndio kitu ambacho wanatudanganya third world countries. Democracy na umasikini wapi na wapi😂
 
Tatizo wabongo hatuna umoja na mshikamano.

Ingekuwa ni nchi nyingine raisi muda huu angeshachomolewa
 
Not real failure. Tuseme a tantalized state
 
Hakika, tumekuwa majongoo
 
Bora udikteta na huduma za uhakika kuliko demokrasia na adha lukuki za huduma. Tunalipaje kodi bila umeme? Serikali ulitapata wapi pesa bila umeme? Biashara ndogo ndogo zinafanyikaje bila umeme?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…