Ni dhahiri kocha Omog anapangiwa kikosi

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Nimemfuatilia Omog kwa muda na tangu kelele za mashabiki zipigwe sasa viongozi watabe wameingilia kati ,..Omog ni boshen tu pale kuna anayeshikilia remote

Mambo kama haya yalimshinda marehemu Siang'a dah
 
Nimemfuatilia Omog kwa muda na tangu kelele za mashabiki zipigwe sasa viongozi watabe wameingilia kati ,..Omog ni boshen tu pale kuna anayeshikilia remote

Sasa hapa nani hakupangwa na omog na nani kapangwa na Rage sijui kibadeni?..
 
Simba 1_prisons 0. Simba imepata pointi 3 na kufikisha pointi 22 ambazo zinaiweka kileleni mwa ligi hata kama wapinzani wao yanga watashinda kesho ama Hata Azam. Simba oyee, Omog Oyee
 
mkuu we ndo unajua leo? tena anayepanga kikosi ni manara
 
Yan hizi timu hazina viongozi. Mpira tunaujua ili msimamizi hamna. Si viongozi si wasemaji ni ovyo tu. Bora Yanga kidogo ila uongozi nao hmm.. Ila Simba hamna kitu
 
Yan hizi timu hazina viongozi. Mpira tunaujua ili msimamizi hamna. Si viongozi si wasemaji ni ovyo tu. Bora Yanga kidogo ila uongozi nao hmm.. Ila Simba hamna kitu

Wewe itabidi ukapimwe kinyesi.... Yani ninawashangaa sana nyie [HASHTAG]#Ndala[/HASHTAG]! Mukiona Simba inapata Mafanikio inawauma sana... Poa wacha iwe Hamna Kitu as long as tunakamata Points 3 kila Game.
 
Mwinyi jana kacheza vizuri tuu.Muhimu tumepata pointi 3.Boko noma sana.Wiki ijayo tunarudi Taifa kwenye uwanja mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…