Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimemfuatilia Omog kwa muda na tangu kelele za mashabiki zipigwe sasa viongozi watabe wameingilia kati ,..Omog ni boshen tu pale kuna anayeshikilia remote
![]()
Twambie ulitaka amtoe nani ili Mo aanzeWhy wanamwacha sana Mo Ibrahim?jamaa yuko vizuri
Mo huwa anaingizwa dk chache zikibaki but leo ameingizwa mapema,I think kwa mo dk 90 ni ngumu kumaliza but basi awe anapewa half time nzimaTwambie ulitaka amtoe nani ili Mo aanze
Kazimoto kashazeeka alitakiwa awe benchi tuTwambie ulitaka amtoe nani ili Mo aanze
Niyonzima/KazimotoTwambie ulitaka amtoe nani ili Mo aanze
Yan hizi timu hazina viongozi. Mpira tunaujua ili msimamizi hamna. Si viongozi si wasemaji ni ovyo tu. Bora Yanga kidogo ila uongozi nao hmm.. Ila Simba hamna kitu