Sasa hata Katiba Mpya hawapatiKauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.
Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
Jamaa ni shida ana misimamo yake huwezi kumbadilishaLissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
Chama cha hovyo snCcm imefikia kiwango cha mwisho cha udhalimu, kumpa Mwarabu Bandari kwa Mkataba kama ule ni red flag tosha kuwa sasa mwenye Koti auze anunue Panga.
Hawaipati kutoka kwa nani?Sasa hata Katiba Mpya hawapati.
Kwa CCMHawaipati kutoka kwa nani?
Katiba huandikwa na wananchi wenyewe..
Serikali inatakiwa ku - facilitate tu zoezi hili..
Wananchi wakichoka kuibembeleza serikali kuchukua hatua za ku - facilitate mchakato, basi itabidi ifanye hivyo kwa kulazimishwa...!!
Asante🙏
CCM nao ni sehemu ya hawa wananchi ninaowasema..Kwa CCM
potelea mbali wacha liwalo na liweKauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.
Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
Lissu angekua sehemu ya hivyo vikao vya maridhiano angewapa mashariti magumu sana yasitokelezekaLissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
Una uhakika? Anahongeka kirahisi ila hongo yake haiwezekani.Lissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
unafikir katiba ni uwamuz wa mabwabwa na makuwadi ya warabu dpworld.Sasa hata Katiba Mpya hawapati
KATIBA MPYA sio ya CHADEMA ni ya WANANCHI.Sasa hata Katiba Mpya hawapati
makuwadi ya warabu koko dpworld mtahangaika sana na 2025 mamayenu atawakimbia kwenda dubai ndipo mtakapotueleza.Kwa CCM
akagombee actDr Slaa na awe mgombea wa Chadema 2025,Lissu na Mbowe tunawahitaji bungeni