Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Mkifanya figisu isipatikane ndio vzr sana......!Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkifanya figisu isipatikane ndio vzr sana......!Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Ndoto hizi za mchana.Hawaipati kutoka kwa nani?
Katiba huandikwa na wananchi wenyewe..
Serikali inatakiwa ku - facilitate tu zoezi hili..
Wananchi wakichoka kuibembeleza serikali kuchukua hatua za ku - facilitate mchakato, basi itabidi ifanye hivyo kwa kulazimishwa...!!
Asante[emoji120]
Kwani kulikuwa na makubaliano? Wawape wabunge wa ofa ACtKauli za kiongozi mwandamizi wa CCM ndugu A. Kinana kuwa Chadema wanakiuka misingi ya maridhiano ni picha kuwa Chadema wanashusha maneno mazito yanayoumiza umtima.
Sakata la bandari limeibua mengi. Huko mikoani Chadema wanashambulia majukwaa . Wanaongea mengiii kiasi cha kuonekana wanakiuka maridhiano. Picha ni kuwa sasa hata ubunge wa ofa hawautaki tena kama hapo awali, ambapo walionekana kufurahia fursa na kuanza kurandaranda majimboni.
Sasa hivi wapo busy kumwaga sumu...
Kwa hiyo leo ccm iko imara bungeni? Vichekesho hiviNdoto hizi za mchana.
Hatukuiondoa CCM ilipokuwa taabani bungeni, itakuwa leo?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
PerfectKATIBA MPYA sio ya CHADEMA ni ya WANANCHI.
Katiba mpya ni hisani toka kwa nani?Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Kwa ccmKatiba mpya ni hisani toka kwa nani?
kwamba leo ccm haiko tabani? ni mpumbavu pekee anayeweza kuamin kuwa ccm haiko tabaniNdoto hizi za mchana.
Hatukuiondoa CCM ilipokuwa taabani bungeni, itakuwa leo?
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Ungemuuliza swali hilo MagufuliKwani Katiba ni mali ya CCM?
Keyboard worrier!Hawaipati kutoka kwa nani?
Katiba huandikwa na wananchi wenyewe..
Serikali inatakiwa ku - facilitate tu zoezi hili..
Wananchi wakichoka kuibembeleza serikali kuchukua hatua za ku - facilitate mchakato, basi itabidi ifanye hivyo kwa kulazimishwa...!!
Asante[emoji120]
Toka ndotoni wewemakuwadi ya warabu koko dpworld mtahangaika sana na 2025 mamayenu atawakimbia kwenda dubai ndipo mtakapotueleza.
Mbowe atamuuaLissu hahongeki mkuu, jamaa amenyooka kama rula na hajawahi kukubali kuwa sehemu ya huo "upuuzi" unaoitwa maridhiano. Haki haiombwi bali inadaiwa.
wewe ndio keyboard worrier huyo mwandazake unafikir kwanin alikufa? kama hujui nakwambia sasa kuwa alikufa kwa upumbavu huo na huyo mamayenu ajaribu kufanya mnavyodanganyana kwenye makorido ya lumumba nyie makuwad ya warabu koko dpworld, lazima afe narudia tena akifanya huo upumbavu atakufa.Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
Ndotoni yuko mamako na makuwadi wenzio ya warabu koko dpworld nguruwe wewe.Toka ndotoni wewe
magufuli yule dikiteta uchwara aliyekufa kijinga misukule yake imebaki kuomboleza.Ungemuuliza swali hilo Magufuli
Ni kweli, katiba kwa njia ya amani hawataipata, lakini hata sisi tunajua katiba ya maridhiano itakuwa ya kisanii. Katiba ya kweli ya wananchi itapatikana aidha kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi fullstop.Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Nani alikuwa na muda wa kuulizana na mshamba mwenye kiburi cha madaraka?Ungemuuliza swali hilo Magufuli