Ni dhahiri kuwa CHADEMA wameikataa ofa ya kupewa wabunge wa mezani walioahidiwa na CCM. Maana sasa wamechachamaa

Ndoto hizi za mchana.
Hatukuiondoa CCM ilipokuwa taabani bungeni, itakuwa leo?


Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kulikuwa na makubaliano? Wawape wabunge wa ofa ACt
 
mimi rai yangu kwa polisi kufanya kazi kwa uweledi kama ilivyo ada uchaguzi mdogo wa mwakani
 
Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
 
Katiba na ya kina nani hadi useme hawapati. Siku ccm ikigeuka wapinzani ndipo wataona umuhimu wa katiba bora
 
Keyboard worrier!
Mwendazake alisema mara moja tu hataki habari ya katiba mpya hao wananchi hawakuwepo?
wewe ndio keyboard worrier huyo mwandazake unafikir kwanin alikufa? kama hujui nakwambia sasa kuwa alikufa kwa upumbavu huo na huyo mamayenu ajaribu kufanya mnavyodanganyana kwenye makorido ya lumumba nyie makuwad ya warabu koko dpworld, lazima afe narudia tena akifanya huo upumbavu atakufa.
 
Sasa hata Katiba Mpya hawapati
Ni kweli, katiba kwa njia ya amani hawataipata, lakini hata sisi tunajua katiba ya maridhiano itakuwa ya kisanii. Katiba ya kweli ya wananchi itapatikana aidha kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi fullstop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…