Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno.