Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mtu miaka nenda rudi anaishia kulalamika tuuuuuuUmasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Sijui inamsaidia nn kila uchao kufungua nyuzi, sijui wanahisi hapa JF ukifungua nyuzi nyingi kuna mgao wa pesa au la.Mtu miaka nenda rudi anaishia kulalamika tuuuuuu
Hahaha
Ova
Hayo sio malalamikoMtu miaka nenda rudi anaishia kulalamika tuuuuuu
Hahaha
Ova
Katika picha hiyo, Je Chief Hangaya anaonekana kuelewa kitu kinachoendelea kwenye utiaji saini huo?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno. View attachment 2204728
Sijui inamsaidia nn kila uchao kufungua nyuzi, sijui wanahisi hapa JF ukifungua nyuzi nyingi kuna mgao wa pesa au la.
Yaan badala ya kufanya kazi sisi ni malalamiko kila siku.
UNAKAMULIWAJE SASA WEWE MLALA HOI?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno. View attachment 2204728
YA NINI SASAAnza kudai katiba mpya🐒🐒🐒
Ukiambiwa uthibitisho utaweza kuutoa?Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake.
Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11?
Hawa watakuwa ni mabilionea wajanja na wameshaunda network ya kuja kutukamua watanzania. Tutaumizwa mno. View attachment 2204728
How?Anza kudai katiba mpya🐒🐒🐒
Mkuu; yaani nchi hii kati ya watu ambao huwa ninawaona ni wazalendo kabisa ni pamoja na huyu mtu. Halafu sasa yuko smart na mstaarabu sana. Akiona mnamletea za kuleta, anatoweka au anakaa pembeni. RA mimi huwa namuona kati ya watu muhimu sana kwenye nchi hii; sawa tu kama alivyokuwa Hayati R. Mengi.Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Huna akili bhana, malalamiko kibao kama mwanamke mjane bhana.. mwanaume pambana acha kulialiaHayo sio malalamiko
Ww pia huo muda unaotumia kucomment kwa nn usifanye kazi?Sijui inamsaidia nn kila uchao kufungua nyuzi, sijui wanahisi hapa JF ukifungua nyuzi nyingi kuna mgao wa pesa au la.
Yaan badala ya kufanya kazi sisi ni malalamiko kila siku.
Macho kumchuzi je? Hakumchelewesha Rostam mkuu?yule mzee mfupi alimcherewesha sana billionaire Rostam
Haya sio malalamiko labda kama hujui kusoma na kuandikaPunguza kulalamika jamaa. Unalalamika sana aisee. Unasahau umri wako unaenda na siku hazirudi nyuma! Jaribu kupambania life lako sometimes sio kulalamika tu kila siku.
Eti tukae mkao wa kutafunwa, utafunwe nini wewe. Kwann kila kitu unakiona kwenye negative tu aisee, ni tabia mbaya sana. Yaani wewe kwakuwa tu ulikuwa na mahaba na Magu basi automatical unajiweka kwenye nafasi ya kumchukia mama na matokeo yake unachukia kila anachofanya, unajisababishia magonjwa ya moyo bure we jamaa. Kulalamika hakukusaidii kunakuzeesha na kukupa simanzi za kudumu.
Simama anza kuwaza positive na kama hii itakushinda basi kaa kimya. Focus kwenye afya yako na familia yako