Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

Acha wale na sisi tutaambulia kuliko wanakula wale wanozikimbizia nje ya nchi.
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Unaweza kueleza chuki ipo wapi ktk huo uzi ndugu badala ya kutoa hoja hafifu za ki ccm?
 
Ushawahi kuona mtu kutoka familia duni badaye anakuwa tajiri

Ushawahi ona mtoto yatima huko mbeleni anakuwa bilionea

Haya si yanatokeaga

Ova
Kila mtu ana mtu nyuma yake, sasa wao waendelee laumu badala ya kutafuta watu
 
Conspiracy theory.

Hakuna linaloshindikana Tanzania.
 
Umasikini mbaya sana. Yaan badala ya kujifunza namna gani unaweza kufikia level ya Rostam ww unaanza kumchukia. wewe ni MCHAWI.
Shikamoo CARDLESS. Nimekuamkia sio kwa sababu ya umri wako, bali kwa heshima ya comment yako

Yaani katika mambo ambayo yatupasa kumuomba Mungu atuepushe nayo ni umasikini. Umasikini na roho ya kimasikini ni vitu vibaya sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu Rostam Azizi jamaa ana akili kiasi gani? Dah inkuaje viongozi wa hii nchi karibu wote wana bow kwake?
 
Uzinduzi wa kiwanda chake cha Morogoro ndicho kitovu cha kuwa na Rais wa bila kuchaguliwa na Wananchi.
Kuna mkono wa Rostam kwenye siasa za nchi hii kwa miaka mingi sasa. Msimuandame. Mwacheni afaidi matunda ya kutumia akili.
 
Mwacheni mwanaume afaidi matunda ya kutumia akili. Tunawahitaji akina Rostam 1000
 
Wenye roho za kishetani kama akina Nyankurungu2020 wataelewa basi?

Miaka ya 1990 nilikuwa nafanya Biashara ya kuuza ngozi na mnunuzi mkubwa alikuwa ni Rostam Aziz. Tulikuwa tukipeleka ngozi, wasaidizi wake (ngozi nyeusi) wanatupiga cha juu kwa kupunguza uzito au kuchelewesha malipo hadi utoe chochote.

Basi ukitaka Rostam Aziz awe mbogo, basi akute mtu anadhulumiwa au anazungushwa kwa namna yoyote ile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manji bado yupo uhamishoni?

Open space za DSM zikae chonjo.😁!

Huu utaratibu wa kuchangia na majina kuatamiwa utapelekea wahuni kutapeli wafanyabiasha kwa gia ya "Tunachangisha ziara ya Rais".

BTW: Kama watumishi wa umma wanaamriwa tu kumpokea Rais airport au kukesha kupokea mwenge kuna uwezekano hata hao waliochanga ni kwa namna hiyohiyo.
 
SEMA KUNA MAMBO YA KUREKEBISHA TU MACHACHE LAKINI MMEKOMAA UTAFIKIRI ILIYOPO HAIFANYI KAZI MBONA ILIPOANDIKWA HAMKUIKATAA? YAANI WEWE HUNA TOFAUTI NA NDOTO ZA KILA MWANAMKE MVIVU KUTAKA KUOLEWA NA TAJIRI
Unauliza kuwa mbona katiba hii ilipoandikwa hatukuikataa unashindwa kuelewa jambo dogo kabisa kuwa mazingira ya kipindi kile ni tofauti na mazingira ya wakati huu kwa maana ya kwamba katiba ambayo ilifaa/ilifit mazingira ya kipindi kile haiwezi kufaa/kufit mazingira ya wakati huu.

Katiba inapaswa kubadilika kutokana na mabadiliko ya mazingira.Idadi ya watu,asili ya demokrasia,mahitaji ya watu,tamaduni za watu,elimu ya watu,uwezo wa watu wa kufikiri,muingiliano wetu na nchi nyingine na kadhalika ya wakati ule ni tofauti na sasa hivi ndiyo maana tunahitaji katiba mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…