Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Kwa namna mambo yanavyoendelea hivi sasa hapa nchini ni wazi kuwa hakuna dhuluma iliyofanyika kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 28 2020.
Ushahidi pekee wa picha zilizopigwa kihuni na watu kuchoma kura zilizokamatwa Kawe hauna mashiko,watu waliupuuza mapema. Na mpaka sasa Halima amethibika kuwa mhuni wa kisiasa,maana makamanda wenzake wamepigwa na butwaa. Amewathibitishia kuwa hakuibiwa kula bali ni msanii.
Aliyegonga msumari wa mwisho ni Zitto maana sasa huku ni kuonyesha watanzania na jumuia ya kimataifa,kuwa mwanzoni walipika uongo ili kupata huruma ya watu na jumuia za kimataifa. Picha ya mtu aliyechomwa,kuvunjwa mkono alafu anateuliwa na kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi kisha anakubali kiulaini,imeshangaza sana.
Watanzania sio wajinga muwafanyie upuuzi kila chaguzi zinapokuja. Ndio maana hawataki kusikia habari ya maandamano au kuunga mkono upinzani uchwara.
Fikiria nani mwenye akili timamu kwa sasa atakubali kuwa kuwa upinzani ulidhurumiwa? Dhuruma ambazo zinaletwa na wafuasi wachache wa upinzani mitandaoni! Huku kiuhalisia wananchi walipiga kura na kusubiri matokeo,dhuluma hizo hawakuziona kwa macho
Watanzania walishajifunza jambo ambalo upinzani unatakiwa ujue kuwa walishashutukiwa,ili kujenga imani tena kwa watanzania itachukua muda mrefu.