Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

Ni dhahiri moto unawaka Yanga. Arafat alitishia kujiudhulu kama Gamond hatoondolewa

kipara kipya

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2016
Posts
18,833
Reaction score
23,276
Bundi yupo jangwani Arafat makamu wa raisi alikuwa na msimamo wa kumuachia hersi timu yake na kuwashawizhi baadhi ya wadhamini kujiondoa klabuni hapo.

Chanzo nyeti kinasema Hersi alikua anasita kumvunjia mkataba gamondi lakini Arafat alisimama na msimamo wake hakuna kumpa muda tena gamondi timu imeshuka kiwango na nidhamu kwa baadhi ya wachezaji.

Mtoa habari anasema privaldnho na Ali kamwe nao watajadiliwa utendaji wao umekuwa ndani ya wiki mbili hizi za vipigo wameyumba wakiendelea hivi pia nao wanaweza kupewa mkono wa kwaheri hali si shwari sana jangwani alisema mtoa habari huyu huwa namuamini katika habari zake nyingi si matango pori yeye ni mtu wa karibu wa viongozi na anashiriki vikao!
 
Back
Top Bottom