Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

Ni dhahiri na wazi kuwa hawapingani na CCM bali walikuwa Wanachuki na Hayati Dkt. Magufuli

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Wao kama wao sasa wameridhia CCM ikae madarakani na sasa wanaikubali impliedly. Kwa ni wazi kabisa wanaona CCM haina mbadala wa kuig'oa.

Walimuona JPM kama kikwazo kwa siasa zao ndio maana wakawa hawamkubali. Maana kuna mambo yao ya ajabu ajabu aliyadhibiti.

Kwa jinsi wanavyokenua na kufurahi kwa sasa wameshakubali CCM itawale milele. Kama wapinzani nafikiri wamekubali kuwa CCM ndio inafaa kuongoza.

Ndio maana hawana cha kukosoa juu ya CCM kushindwa kuleta maendeo na kutatua kero za wananchi, bali wanakosoa jinsi hayati JPM alivyodhibiti wakwepa kodi, majambazi na Wahujumu Uchumi.
 
Kwa jinsi wanavyomuandama JPM wakati hayupo ni dhairi adui yao hakuwa ccm bali ni JPM. Hivyo sujui wataanzia wapi kutuhaminisha raia kuwa ccm haifai wakati kila wakisimama jukwaani wanamuandama hayati ambae raia walimuamini kuliko chama chochote cha siasa.
 
CCM ni Chama mfu sasa kimebaki kutumiwa na wala Rushwa na Madikteta
 
Wakakosolee wapi wakati Bungeni mlishawatoa kwa amri ya mbaguzi Magufuri?
 
Kwa jinsi wanavyomuandama JPM wakati hayupo ni dhairi adui yao hakuwa ccm bali ni JPM. Hivyo sujui wataanzia wapi kutuhaminisha raia kuwa ccm haifai wakati kila wakisimama jukwaani wanamuandama hayati ambae raia walimuamini kuliko chama chochote cha siasa.
Hakuna aliyemwamini nakwambia,yule alitumia majeshi na vyombo vya dola kulazimisha apendwe kwa namna yoyote ile lakini manung'uniko mitaani yalikuwa lukuki.
 
Sidhani kama tangu tupate uhuru tumewahi kuwa na watu majambazi kama Jiwe na timu yake (Sabaya, Makonda, Dotto James, Mnyeti, Kakoko na mijizi mingine ya aina hiyo ambayo yalikuwa hayagusiki kipindi chake).

Hata huyu Majaliwa anayetamba sasa hivi kipindi hicho alikuwa hawagusi hao watu.
 
CHADEMA wana chuki sana na Mwendazake maana umaarufu wao ulikuwa kupinga ufisadi,sasa Mwendazake ndo alipambana nao.
wenzetu wakabaki kuweweseka hawajui waelekee wapi.
 
Kwa jinsi wanavyokenua na kufurahi kwa sasa wameshakubali CCM itawale milele. Kama wapinzani nafikiri wamekubali kuwa CCM ndio inafaa kuongoza.
Unajua maana ya milelele maana ya hilo neno ni kua hukuna mwanzo Wala mwisho je unayo sema Ina sifa hizo
 
Back
Top Bottom