Hakuna aliyemwamini nakwambia,yule alitumia majeshi na vyombo vya dola kulazimisha apendwe kwa namna yoyote ile lakini manung'uniko mitaani yalikuwa lukuki.Kwa jinsi wanavyomuandama JPM wakati hayupo ni dhairi adui yao hakuwa ccm bali ni JPM. Hivyo sujui wataanzia wapi kutuhaminisha raia kuwa ccm haifai wakati kila wakisimama jukwaani wanamuandama hayati ambae raia walimuamini kuliko chama chochote cha siasa.
Wamebaki CCM na Mama... Full kupongeza ...na mapambio kama mazuzu vile.CHADEMA wana chuki sana na Mwendazake maana umaarufu wao ulikuwa kupinga ufisadi,sasa Mwendazake ndo alipambana nao.
wenzetu wakabaki kuweweseka hawajui waelekee wapi.
Unajua maana ya milelele maana ya hilo neno ni kua hukuna mwanzo Wala mwisho je unayo sema Ina sifa hizoKwa jinsi wanavyokenua na kufurahi kwa sasa wameshakubali CCM itawale milele. Kama wapinzani nafikiri wamekubali kuwa CCM ndio inafaa kuongoza.