Ni dhahiri Sasa Waandamanaji wanaogopwa kuliko Jeshi

Joined
Jun 1, 2026
Posts
99
Reaction score
189
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.

Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.

Maduka na huduma nyingi muhimu maeneo mengi Leo zilifungwa.

Niwape tahadhari askari wetu, mnawasikiliza watawala badala ya wananchi, mnaanikwa kama mihogo barabarani, mnakaa kizemebe zembe hovyo barabarani,

Wakitokea watu kadhaa wenye siraha na wakae kwenye angle nzuri, mtakufa kama mbwa.
Asante!
 
Vip Gen Z wakiamua kuitisha maandamano tena wakati wa mashindano ya Afcon ni nguvu gani police-CCM watatumia kuwazibiti???

Why CCM hawataki kutatua matatizo yanayo pigiwa kelele na wananchi wenyewe wanakalia kutumia ma nguvu kama watoto???
 
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.

Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.

Maduka na huduma nyingi muhimu maeneo mengi Leo zilifungwa.

Niwape tahadhari askari wetu, mnawasikiliza watawala badala ya wananchi, mnaanikwa kama mihogo barabarani, mnakaa kizemebe zembe hovyo barabarani,

wakitokea watu kadhaa wenye siraha na wakae kwenye angle nzuri, mtakufa kama mbwa.
Asante!
Ulinzi uliimarishwa
 
Nadhani Sasa iwe utaratibu Rasmi wa kuweka ulinzi kama huu siku ZOTE,ili wananchi wawe na aman zaidi
 
Huu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.

Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.

Maduka na huduma nyingi muhimu maeneo mengi Leo zilifungwa.

Niwape tahadhari askari wetu, mnawasikiliza watawala badala ya wananchi, mnaanikwa kama mihogo barabarani, mnakaa kizemebe zembe hovyo barabarani,

Wakitokea watu kadhaa wenye siraha na wakae kwenye angle nzuri, mtakufa kama mbwa.
Asante!
Unajifariji 😃😃😃 ungetoka useme suu! Uone
 
Vip Gen Z wakihamua kuitisha maandamano tena wakati wa mashindano ya Afcon ni nguvu gani police-CCM watatumia kuwazibiti???

Why CCM hawataki kutatua matatizo yanayo pigiwa kelele na wananchi wenyewe wanakalia kutumia ma nguvu kama watoto???
Kwa uandishi huu CCM watawale milele tu! Usikute Una Ka degree na wewe
 
Kikubwa nilichojifunza watanzania ,wanaandamana kiiman na kirohoni, mengine wamemuachia Mungu
 
Majeshi yote walitoa uhakika kwamba kutakuwa na usalama watu waende mwenye shughuli zao, umeona watu wametoka? Waandamanaji wanaogopwa kuliko Majeshi
MTU aliyevuta bangi akichoma choma hovyo miundombinu, shule na biashara za watu.....Kwa nini usimuogope!? Huyo unachokifanya ni kutompa nafasi akufanye wewe ngao unamwacha atoke akapambane na vijana wa Samia

Kama yeye anauchungu angetoka bila kuvizia raia wasiokuwamo wampe kinga.
 
Majeshi yote walitoa uhakika kwamba kutakuwa na usalama watu waende mwenye shughuli zao, umeona watu wametoka? Waandamanaji wanaogopwa kuliko Majeshi
We ulitakaje, watu kufunga biashara pia ni sehemu ya kuchukua tahadhari. Ulitaka uone Nini ili uamini USALAMA upo.
 
Back
Top Bottom