chapati mbili na chai
Member
- Jun 1, 2026
- 99
- 189
Ulinzi uliimarishwaHuu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.
Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.
Maduka na huduma nyingi muhimu maeneo mengi Leo zilifungwa.
Niwape tahadhari askari wetu, mnawasikiliza watawala badala ya wananchi, mnaanikwa kama mihogo barabarani, mnakaa kizemebe zembe hovyo barabarani,
wakitokea watu kadhaa wenye siraha na wakae kwenye angle nzuri, mtakufa kama mbwa.
Asante!
Sahihiπ―Walio yapa sana promo haya maandamano ni vyombo vya ulinzi na usalama, watu wala hawakuwa na habari nayo
Unajifariji πππ ungetoka useme suu! UoneHuu ni ukweli ambao Wala hauna shaka kabisa, kwamba Waandamanaji wanaogopwa Sana kuliko majeshi yote ya hapa nyumbani.
Pamoja na kwamba majeshi yote yalitoa hakikisho la usalama Kwa raia kwamba wajitokeze na waendelee na shughuli zao za Kila siku, wamepuuzwa, hakuna aliyetoka.
Maduka na huduma nyingi muhimu maeneo mengi Leo zilifungwa.
Niwape tahadhari askari wetu, mnawasikiliza watawala badala ya wananchi, mnaanikwa kama mihogo barabarani, mnakaa kizemebe zembe hovyo barabarani,
Wakitokea watu kadhaa wenye siraha na wakae kwenye angle nzuri, mtakufa kama mbwa.
Asante!
Kwa uandishi huu CCM watawale milele tu! Usikute Una Ka degree na weweVip Gen Z wakihamua kuitisha maandamano tena wakati wa mashindano ya Afcon ni nguvu gani police-CCM watatumia kuwazibiti???
Why CCM hawataki kutatua matatizo yanayo pigiwa kelele na wananchi wenyewe wanakalia kutumia ma nguvu kama watoto???
Hahaha watawale milele tu πKwa uandishi huu CCM watawale milele tu! Usikute Una Ka degree na wewe
Majeshi yote walitoa uhakika kwamba kutakuwa na usalama watu waende mwenye shughuli zao, umeona watu wametoka? Waandamanaji wanaogopwa kuliko MajeshiUnajifariji πππ ungetoka useme suu! Uone
FactWalio yapa sana promo haya maandamano ni vyombo vya ulinzi na usalama, watu wala hawakuwa na habari nayo
MTU aliyevuta bangi akichoma choma hovyo miundombinu, shule na biashara za watu.....Kwa nini usimuogope!? Huyo unachokifanya ni kutompa nafasi akufanye wewe ngao unamwacha atoke akapambane na vijana wa SamiaMajeshi yote walitoa uhakika kwamba kutakuwa na usalama watu waende mwenye shughuli zao, umeona watu wametoka? Waandamanaji wanaogopwa kuliko Majeshi
We ulitakaje, watu kufunga biashara pia ni sehemu ya kuchukua tahadhari. Ulitaka uone Nini ili uamini USALAMA upo.Majeshi yote walitoa uhakika kwamba kutakuwa na usalama watu waende mwenye shughuli zao, umeona watu wametoka? Waandamanaji wanaogopwa kuliko Majeshi
Nchi yetu siyo salamaWe ulitakaje, watu kufunga biashara pia ni sehemu ya kuchukua tahadhari. Ulitaka uone Nini ili uamini USALAMA upo.