Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
mambo yako wazi sanaLeta ushahidi mkuu
Si Ahmed Alli alianza kutamba? na je, ya Morrison ushasahau?Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .
Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .
Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Wambura alieleza vizuri kuhusu utata uliotokea katika malipo yaliyofanywa na Yanga kwenda kwa aliyekuwa kocha wake. Kikubwa fedha zishalipwa na Yanga wako free kuendelea kusajili,Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.
Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.
Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.
Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.
Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.
Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?
Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.
Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Huja onesha huo uwazi zaidi ya malalamiko.mambo yako wazi sana
Ndio walilipa hilo tunajua ila usumbufu wa kumzungusha Lucy Eymael ndio naouzungumzia hapa.Wambura alieleza vizuri kuhusu utata uliotokea katika malipo yaliyofanywa na Yanga kwenda kwa aliyekuwa kocha wake. Kikubwa fedha zishalipwa na Yanga wako free kuendelea kusajili,
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Ndio hapo SasaYanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.
Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.
Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.
Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.
Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.
Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?
Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.
Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Kama Feisal tu,naposemaga watanzania hamna akili ndio kama hivi sasaKitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .
Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .
Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Ushaambiwa makoloWakati Azam wanafanya kwa Fei ilikuwa kushangilia ila sasa hv imekuwa vurugu.
Hivi aliyetekwa airpot ni nani?Ndio hapo Sasa
Yanga omba omba hela watoe wapi ?
Si mnaona mpaka wameporwa na Simba mchezaji pale airport
Simba inajipa pressure bure
Sio tu Makolo ,ni mbumbumbuUshaambiwa makolo
Sasa kolo anayo akili ya kukumbuka
Wao wenyewe ndio waliokuwa mawakili wa kujitolea