Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Sijaona Uzuzu wowote, suala ni chama je karidhia km karidhia aende akawaambie simba kuwa kuna offer kapewa na karidhia, Yanga watakuja mezani watakaa kuzungumza na simba.

Pia km ktk mkataba wake kuna kifungu cha kuvunja mkataba na kanuni zake zipo ndani ya kifungu hicho, atimize matakwa ya kanuni hizo aende zake huko anakotakaaa.

Mchezaji yuko huru kucheza popote, ile ni ajira yake anatafuta penye maslahi, yule ni mchezaji sio shabiki wala mwanachama wa team.

Km anataka na ameridhia kuondoka, aachiwe aondokee, mlango uwe wazi apite bila kukwamaa.
Waende mezani! kipindi cha Feisal ana ambiwa aende mezani ulikua unasema aje?
 
Kama Chama bado ana mkataba na Yanga wamemfuata direct huo ni Uzuzu. Ni Uzuzu Kwa sababu kanuni haziruhusu na ni uchokozi usio na faida lakini Una gharama ya kulipa kwao.
Wakati wa suala la Feisal na Azam nilisema na narudia kusema uhuni wa Aina Ile unatakiwa kukemewa.
yanga wamewahi kufanya hivyo kwa Kessy, wakafanya hivyo kwa Ngassa kote walikula faini pia walifanya kwa Chama mwakalebela akaishia kuomba radhi ila kwa uzuzu wa Simba wakamwachia lakini Bado hawajajifunza.
 
Yanga walifungiwa na Fifa kwa kutolipa faini ya Sh 300M.

Yanga princess walikuwa na mgomo kufuatia kutolipwa mishahara pamoja na signing fee.

Yanga imeshindwa kwenda nje kuweka kambi kwa ajili ya pre season kwasababu ya Ukata.

Yanga imekuwa kama community ya wazee kila siku vikao kujadili namna ya kumbakisha Mayele huku mchezaji mwenyewe akitaka kulipwa M40 per month.

Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Unategemea hiyo hela ilipwe kutoka kwenye mfuko gani?

Ishu ya Chama wengine tushaanza kuzoea maana kila msimu wa usajili lazima kuwe na tetesi zake.

Yanga wanaokaa vikao kila muda kumjadili Mayele aliyewafanyia makubwa na kushindwa kufika muafaka ndio uwategemee wamnunue Chama kwa 2.3 B?
Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Ligi ya Tanzania kumbe WALEVI wana thamani hivi !!
 
We jamaa una habari za Yanga kuliko mashabiki wake. Uko impressed sana na Yanga, kwa gazeti lote hili na umeyaweka kichwani, kwakweli wewe ni tawi la Yanga hapo Msimbazi. Safi sana mkuu, hadi za Yanga Princess, noma kweli
 
Wewe na akili zote mkuu na kusoma kwako kote na maarifa yote Mungu amekupa
Na wazazi wazuri wakakusomesha
Unaamini mchezaji anaweza porwa airport zama hizi
Usiniangushe basi [emoji23][emoji23]
Hao ndiyo Rage alikuwa anawachana live kuwaita mbumbumbu 😀😀
 
We jamaa una habari za Yanga kuliko mashabiki wake. Uko impressed sana na Yanga, kwa gazeti lote hili na umeyaweka kichwani, kwakweli wewe ni tawi la Yanga hapo Msimbazi. Safi sana mkuu, hadi za Yanga Princess, noma kweli
Anaijua Yanga kuliko hata Timu yake,usikute hata kiwanjani kwao bunju hapajui ila kigamboni Kwa Yanga anajua
 
Kitendo cha kishamba cha timu ya Yanga kuanza kurubuni wachezaji wa vilabu vingine vya Tanzania kwa njia za giza , kitachochea vurugu kwenye soka na kudumaza ligi yetu .

Sijaridhishwa na namna wanavyotaka kumchukua Chama , huu ni ubabe wa kijinga sana , badala ya kupambana huko nje wao wanaamua kubomoa ndani , hii haikubaliki kabisa .

Siku sisi Tukiamua kujibu mapigo wasije kumlilia mtu .
Kwel nyie ni mambumbu aisee [emoji23][emoji23] yaani ndani ya muda mchache tu umeshasahau

Vip kuhusu Azam na Feisal
Na ishu ya Morison ilikuaaje

Kwel mbumbu ni mbumbu tu [emoji1787]
 
Back
Top Bottom