Ni dhahiri Yanga inataka kuleta fujo kwenye soka la Tanzania, Ikemewe

Waende mezani! kipindi cha Feisal ana ambiwa aende mezani ulikua unasema aje?
 
yanga wamewahi kufanya hivyo kwa Kessy, wakafanya hivyo kwa Ngassa kote walikula faini pia walifanya kwa Chama mwakalebela akaishia kuomba radhi ila kwa uzuzu wa Simba wakamwachia lakini Bado hawajajifunza.
 
Halafu thamani ya Chama ni 2.3B.

Ligi ya Tanzania kumbe WALEVI wana thamani hivi !!
 
We jamaa una habari za Yanga kuliko mashabiki wake. Uko impressed sana na Yanga, kwa gazeti lote hili na umeyaweka kichwani, kwakweli wewe ni tawi la Yanga hapo Msimbazi. Safi sana mkuu, hadi za Yanga Princess, noma kweli
 
Wewe na akili zote mkuu na kusoma kwako kote na maarifa yote Mungu amekupa
Na wazazi wazuri wakakusomesha
Unaamini mchezaji anaweza porwa airport zama hizi
Usiniangushe basi [emoji23][emoji23]
Hao ndiyo Rage alikuwa anawachana live kuwaita mbumbumbu 😀😀
 
We jamaa una habari za Yanga kuliko mashabiki wake. Uko impressed sana na Yanga, kwa gazeti lote hili na umeyaweka kichwani, kwakweli wewe ni tawi la Yanga hapo Msimbazi. Safi sana mkuu, hadi za Yanga Princess, noma kweli
Anaijua Yanga kuliko hata Timu yake,usikute hata kiwanjani kwao bunju hapajui ila kigamboni Kwa Yanga anajua
 
Kwel nyie ni mambumbu aisee [emoji23][emoji23] yaani ndani ya muda mchache tu umeshasahau

Vip kuhusu Azam na Feisal
Na ishu ya Morison ilikuaaje

Kwel mbumbu ni mbumbu tu [emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…