Ni dhambi gani uliwahi kumsingizia shetani mpaka ukajishangaa?

Shetani kasingiziwa tena
FB_IMG_1700838922672.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi izo,Nilidate na binti mlokole mmoja,
Siku nmevusha nkasahau kufunga mlango

Nikafumaniwa uchi kitandani na KE mwingine, mlikole kapanic kaanza kulia akiniuliza kwa jazba huyu bint Ni Nani.

Kuua Soo,
Nikamkana simtambui wala simjui,
Atoke kwangu na aache kuparamia waume za watu, atakuja kuuwawa bure, nkamsukumiza nje Kama mbwa.

Baadae nkamfata privately kuomba msamaha, kua hazikua akili zangu, yule Ni shetani

Kiukweli Yule mwanamke nlokua nae ni mchawi Sana aliniroga, Sina ujasili wa kufanya kile nilichomfanyia.

Binti kanisamehe,tukarudiana na kunisihi nianze kusali sana kanisani kwao akisema apa mjini Kuna wanawake wengine Ni mawakala wa shetani.

Baada ya Hapo,
Hakuna Cha shetani Wala nini,
nikaendelea kutembea nao wote wawili,
kila binti na venue Yake,kwa MDA wake[emoji4]
 
nikaendelea kutembea na wote wawili,
kila binti na venue Yake,kwa MDA wake[emoji4]
Baadae nkamfata privately kuomba msamaha, kua hazikua akili zangu, yule Ni shetani [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Enzi izo,Nilidate na binti mlokole mmoja,
Siku nmevusha nkasahau kufunga mlango

Nikafumaniwa uchi kitandani na KE mwingine, mlikole kapanic kaanza kulia akiniuliza kwa jazba huyu bint Ni Nani.

Kuua Soo,
Nikamkana simtambui wala simjui,
Atoke kwangu na aache kuparamia waume za watu, atakuja kuuwawa bure, nkamsukumiza nje Kama mbwa.

Baadae nkamfata privately kuomba msamaha, kua hazikua akili zangu, yule Ni shetani

Kiukweli Yule mwanamke nlokua nae ni mchawi Sana aliniroga, Sina ujasili wa kufanya kile nilichomfanyia.

Binti kanisamehe,tukarudiana na kunisihi nianze kusali sana kanisani kwao akisema apa mjini Kuna wanawake wengine Ni mawakala wa shetani.

Baada ya Hapo,
Hakuna Cha shetani Wala nini,
nikaendelea kutembea nao wote wawili,
kila binti na venue Yake,kwa MDA wake[emoji4]
Hataree hii🤣🤣🤣
 
Nyingine Hii, imentokea mwaka huu
Na mchepuko wangu mmoja Ni fund cherehan anakaa ndani ndan uko temeke ana chumba chake self kajenga anakaa mwnyw na binti Yake. Kuna Uzi wake Nliwai kuileta humu

Ni hivi Siku hyo nko chamaz na mishe zangu,mvua imenyesha, nmetoka kwny gar nmejifunga kikoi Cheupe kama mtandio kujikinga na manyunyu nkasema ebu leo nimmsurprise mpenz wangu nyumbn kwake Bila taarifa.

Ghafla nakuta honda uwajani kwake, machale yakanicheza,sikubisha hodi direct, nkaenda Moja kwa Moja mpk dirishan nyuma ya nyumba yake kuskikizia kwanza.

Ghafla naskia miguno na milio ya chaga dirishan kwake kwamba Kuna mtu ndani anapelekewa Moto mkali sana.

Nikasema ebu ngoja niskikize Hii show mwanzo mwisho,Unaweza jitia unafumania kumbe sio yeye, au kibao ukageuziwa wewe, ujui unaemfumania kajipangaje au ana nafas gan kwa mwanamke husika. Ila nikapania jamaa akiondoka TU, nami niingie nimchane ukweli nmejua nn kimeendelea na baada ya hapo tuachane.

Nkiwa dirishan naskilizia
Mara Ghafla naskia Mtoto ndani analia Sana, jamaa halijali linapeleka Moto uku mtt analia na kitanda kinalia kwa saut kubwa mno. Lilipomaliza kimya kikatawala, likamuuliza binti mwanao ana shida gani mbona analia sana, binti kajibu "mtt anachemka Sana tangu asbh"

Jamaa likamwambia, "kwann ujasema sasa? Basi Ntakwachia Ela kesho mpeleke hospitali akatibiwe" binti kasema" sawa". Nkaskia limeinuka, limeoga,limevaa Kisha limeaga,kimefngua mlango,limewasha Honda limeondoka.

Mi Niko zangu dirishan, ghafla naskia vitu "pwaaah" kama vinamwagwa shimoni, kugeuka uso kwa uso na binti, binti kuniona kapiga yowe kali sana na kutupa ndoo chini akakimbilia ndani kwake.

Nikaona ishakua Soo Sasa, majiran wasije kuamka nikaitwa mwizi, nikatokomea gizani mpk nilikopaki gar na Kuondoka zangu moja kwa Moja.

Kesho Yake rafk yangu ananipigia kua Kuna msiba, Mtoto wa fund cherehan kafariki, ikatubd Kwenda msiban.

Msiban Nmeonana na binti,namuulza nn kimetokea. Anasema mwanae tangu mchana Alkua anachemka kawaida tu, ila ilpofika usku akitoka nje kumwaga uchaf shimon kaona mtu mrefu Kama jini dirishan kwake tena kavalia hijabu nyeupe.

Ndo kakimbia kurud ndani na kujifungia, akalala na baada ya Apo mwanae kachemka Zaid,alfajr ndo anamwamsha akakojoe mtt haamki, kaita majiran wakamwambia uyu Mtoto tyr keshafariki.
Hivyo anawasiwasi mwanae wamemroga.

Kichwani nikabaki najisemea "laiti ungelijua jini mwenyewe alikua Ni mimi, UNGEKAA KIMYA TU[emoji28]

Nmetaka kumchana ukweli pale pale,nkasema ebu nimuache amalize kwanza msiba wa mwanae nisije mvuruga kichwa, nikachafua Hali ya hewa pale msibani[emoji4]
 
Kuna dada mmoja wa kisukuma alinunua iphone akawa hajui namna ya kufungua Apple ID account na email, akaniambia nimfungulie kwa malipo ya Tsh 50,000. Nikakubali nikafanya kazi yake kwa wakati kabisa kila kitu kikaenda sawa.

Mr machale, machale yakanicheza nikascreenshot details zote muhimu nikajitumia kwenye email yangu ili iwe salama yangu akinidhulumu malipo yangu maana alikuwa anasifika kwa dhulma na uhuni uhuni(ni hawa wadada wamjini mambo mengi)

Nilichokiwaza kikawa kweli nikapewa elfu 2 ya MB's nyingine nikaahidiwa kesho yake, kesho kufika akaanza kujirahisisha anasema nikale mzigo ibaki 20k, sikumjibu akazidi kunizungusha zungusha huku akianza maneno ya shombo.

Nikasema huyu hanijui vizuri ngoja nitumie asichokijua nimnyooshe, nikawasha data nikaingia kwenye find my iphone nikaweka details nikailock, akanitafuta simu inazingua nmsaidie kumtafutia fundi mzuri, nikamcheki jamaa angu mmoja ni fund simu nikampanga nkampa na details muhim akifika tu anaweka tunapiga pesa, ukawa mchezo wangu nilipiga zaidi ya laki 2 na hakushtuka mwshowe akauza ile simu 80K kwa fundi baada ya fundi kumwambia hii itakufia mda wowote kuliko ule hasara mara 2 bora uuze, akauza na baada ya mwezi kupita tukamuuzia simu ile ile kwa tsh 380K. Akaja na hela yangu niliyokuwa namdai akaniomba kiuungwana nimsaidie nikamsaidia kuset kila kitu kama ilivyokuwa awali.

Hakujua chochote kilichoendelea, akashukuru akasema afadhali kaondokana na ile simu iliyokuwa inamfanya chini kuwake moto ili apate hela ya kuitengeneza kila mara mpaka kapata na mimba akipambania hela ya kutengeneza simu. Kwa sasa ni single maza.
 
Hakujua chochote kilichoendelea, akashukuru akasema afadhali kaondokana na ile simu iliyokuwa inamfanya chini kuwake moto ili apate hela ya kuitengeneza kila mara mpaka kapata na mimba akipambania hela ya kutengeneza simu. Kwa sasa ni single maza.[emoji23][emoji23][emoji23]

😂 kakuza mtoto na amekuwa kweli kweli ila kabadilika sana yale mambo ya usiku kaacha sasa sijui n kwa muda maana miaka minne imepita.
 
Kuna dada mmoja wa kisukuma alinunua iphone akawa hajui namna ya kufungua Apple ID account na email, akaniambia nimfungulie kwa malipo ya Tsh 50,000. Nikakubali nikafanya kazi yake kwa wakati kabisa kila kitu kikaenda sawa.

Mr machale, machale yakanicheza nikascreenshot details zote muhimu nikajitumia kwenye email yangu ili iwe salama yangu akinidhulumu malipo yangu maana alikuwa anasifika kwa dhulma na uhuni uhuni(ni hawa wadada wamjini mambo mengi)

Nilichokiwaza kikawa kweli nikapewa elfu 2 ya MB's nyingine nikaahidiwa kesho yake, kesho kufika akaanza kujirahisisha anasema nikale mzigo ibaki 20k, sikumjibu akazidi kunizungusha zungusha huku akianza maneno ya shombo.

Nikasema huyu hanijui vizuri ngoja nitumie asichokijua nimnyooshe, nikawasha data nikaingia kwenye find my iphone nikaweka details nikailock, akanitafuta simu inazingua nmsaidie kumtafutia fundi mzuri, nikamcheki jamaa angu mmoja ni fund simu nikampanga nkampa na details muhim akifika tu anaweka tunapiga pesa, ukawa mchezo wangu nilipiga zaidi ya laki 2 na hakushtuka mwshowe akauza ile simu 80K kwa fundi baada ya fundi kumwambia hii itakufia mda wowote kuliko ule hasara mara 2 bora uuze, akauza na baada ya mwezi kupita tukamuuzia simu ile ile kwa tsh 380K. Akaja na hela yangu niliyokuwa namdai akaniomba kiuungwana nimsaidie nikamsaidia kuset kila kitu kama ilivyokuwa awali.

Hakujua chochote kilichoendelea, akashukuru akasema afadhali kaondokana na ile simu iliyokuwa inamfanya chini kuwake moto ili apate hela ya kuitengeneza kila mara mpaka kapata na mimba akipambania hela ya kutengeneza simu. Kwa sasa ni single maza.
🤣🤣🤣🤣
 
Ngachokalhee[emoji38][emoji38]
 
Back
Top Bottom