Ni dharau gani ulikutana nayo katika maisha yako?

Wanawake bwana!
Kuna mwanamke fulani hivi kila nikimkumbuka napata hasira sana na morali ya kazi inakua juu sana.
Mwanamke aliyenipenda nami nilimpenda ila vile sikua na hela alishindwa kabisa kuvumilia .

Siku ya mwisho aliniambia neno nadhani lile lilikuwa ni zaidi ya dharau , lakini tu ni seme ni dharau.
 
Polee [emoji17][emoji17]
 
🤣🤣🤣🤣🤭 Yeye nakupenda, upendo wa kweli huvumilia
 
Wanawake bwana!
Kuna mwanamke fulani hivi kila nikimkumbuka napata hasira sana na morali ya kazi inakua juu sana.
Mwanamke aliyenipenda nami nilimpenda ila vile sikua na hela alishindwa kabisa kuvumilia
Pole sana mkuu inaumiza sana
 
Asante ndugu yangu, mwanzoni huwa inaumiza au ikiwa ni mtu anaetumia hisia zaidi, ila kimantiki nadhani nafasi nzuri ya kutoka engle moja kwenda nyingine.
Yes inawezekana maumivu aliyokusababishia yamekuwa sababu ya nguvu ya hatua ya mafanikio yako, yamekupush. Sio kila baya linazalisha baya, kuna mabaya yanaleta mazuri kwenye maisha yetu.
 
Mi niliwahi kujifunza kitu kimoja ndugu yangu, kamwe sitamdarau mtu , kwa sababu yoyote hata kama yeye amenidharau.
Pia mtu yoyote akileta dharau kwangu sita react kwa negative hata kama dharau imekua kubwa kiasi gani, badala yake naangalia ni angle gani imezaa hio dharau, je ni kweli ndivyo ilivyo? Kama nikijiona nilistahili najisahihisa
 
Huyo ni mimi kabisa
 
Back
Top Bottom