Ni dharau gani ulikutana nayo katika maisha yako?

Ungeanza wewe kwanza kusimulia mtoa mada. Ndio tufunguke.
 
Siku ya Graduation ticha alisema mbele ya wazazi kwamba wawe na Mimi uko mtaani nisipokuwa Teja basi nitakuwa jambazi but after miaka 2 nimerudi kuchukua academic yangu asee yule maza hakuamini dadeq zake na nikampiga na laki usomi ..yule mama alikuwa mnoko sana mmae
 

[emoji23][emoji23][emoji23] umenchekesha
 
Ilikusaidia, mara nyingi wakati tunapojaribu kumprove mtu wrong ndipo huko huko indirectly unatoja kwenye njia uliyokuwa unaiendea kwa ubaya
 
Naomba niishii na hiii. [emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa balaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…